Kenyans247 Forum

Welcome, Guest: Join Kenyans247 LOGIN!

Stats: 109,457 Members, 3,330 topics and 55 posts Date: Wednesday 18 September 2019 at 12:00 PM
TrendingRecentNewestDirectoryLivescoresLive Kenyan TVLive Kenyan Radio

Our KNU Income Project v1. is suspended for now, until futher notice. making sure to bring better service. Thank you

Kamati ya Roho chafu... Washindwe katika jina LA Yesu! - Entertainment - Kenyans247

Kenyans247 / Entertainment / Social Media/K247 Chit-Chat / Kamati ya Roho chafu... Washindwe katika jina LA Yesu! (32 Views)

Kamati ya Roho chafu... Washindwe katika jina LA Yesu!
(Go Down) (» Reply topic)
Kamati ya Roho chafu... Washindwe katika jina LA Yesu! by Kenyans247(m): Tue Sep 2019 01:42pm
Kamati ya Roho chafu...

1. Mimi siwezi buy gari na loan,
2. Huyo bwana yake ni mkubwa sana kumliko, ni pesa aliona,
3. Gari ni mabati tu!,
4. iPhones are overrated, simu ni simu tu bora inapiga,
5. Siwezi kula food ya fridge,
6. Wako na pesa na hawana amani kwa nyumba,
7. Anajifanya na hiyo masomo yake na hawezi ata pata mtu wa kumuoa,
8. Siwezi drive vitz afadhali nitembee miguu
9. Kuoa ni stress afadhali nikae single
10. Microwave inaleta cancer
11. He is driving a V8 na anaishi githurai, huyo ni driver wa mdosi.
12. Hio nguo anasema alibuy 7K na Eastleigh ni Thao! same same
13. Hiyo kazi alipata after kulala na mdosi.
14. Mimi siezi bebwa na probox. Afadhali kuenda na matatu..
15. Ata akipata degree, atakuja tu ku tarmac na sisi.
16. Kwani Mercedes iko na miguu tano? Sisi wote tutafika tu pamoja.
17. Siwezi drive gari kama sijajenga nyumba
18. Anaendanga gym daily but iyo tumbo haishangi
19. Hiyo kizungu yake unaweza fikiria amekaa States 10 years.
20. kinavaanga vizuri lakini ukiona watoto, ni kama chokoraaa
21. Yuko na accent na hata ndege kufika Mombasa hajawahi
22. Wataachana tu.
23. Ako na iPhone na imagine na okoa jahazi ya 20b bob
24. Ako na figure poa lakini hajui ata kuvaa
25. Huyo anaringa na ni sponsor anamsort!
26. Hao hakuna mahali wanaenda
27. Huyo vile amenenepa ni Family Planning!_g
28. By the way huyo dame si mcute. Ni weupe tu.
29. Wee unatafta dem saa zile wengine wetu tushapata third born.
30. Anajenga nyumba permanent ni kaa ataishi milele.

Washindwe katika jina LA Yesu!

(» Reply topic) (» Go Up) Please register or login to post a comment
LIVE KENYAN RADIO
WATCH KENYAN TV
Viewing this topic:
1 guest(s) viewing this topic

Sections: HistoryKe, Kenyans247 ads, Environment, Huduma Centre, Agriculture, Art, Graphics & Video, Technology Market, Webmasters, Universities, Programing, Photography, Poetry, Events, Social Media/K247 Chit-Chat, Celebrities, South Sudan Forum, Rwanda Forum, Ugandan Forum, Tanzania Forum, Somalia Forum,

Links: (0) (1) (2) (3) (4) (5) (6) (7) (8) (9)

Kenyans247 - Copyright © 2019 Sande Kennedy. All rights reserved. See How To Advertise.
Disclaimer: Every Kenyans247 member is solely responsible for anything that he/she posts or uploads on Kenyans247.